17 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Julai 17)
| Jun - Julai - Ago | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1048 - Uchaguzi wa Papa Damaso II
- 1695: Benki ya Uskoti inaanzishwa kwa sheria ya bunge la Uskoti.
Waliozaliwa [hariri]
- 1888 - Shmuel Yosef Agnon (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1966)
- 1935 - Donald Sutherland, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 1954 - Angela Merkel, chansela wa Ujerumani (tangu 2005)
- 1955 - Aggrey Deaisile Joshua Mwanri, mwanasiasa wa Tanzania
- 1956 - Michael George Mabuga Msonganzila, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 656 - Uthman ibn Affan khalifa wa tatu wa Uislamu auawa mjini Madina.
- 855 - Papa Leo IV
- 1950 - Evangeline Booth
- 1959 - Billie Holiday, mwanamuziki Mmarekani