Michael George Mabuga Msonganzila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michael George Mabuga Msonganzila (amezaliwa 17 Julai 1956) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Askofu Mkuu Anthony Peter Mayala mwaka wa 2008. Tangu mwaka huo, ni askofu wa Jimbo la Musoma.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.