Billie Holiday

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Billie Holiday

Billie Holiday (7 Aprili, 191517 Julai, 1959) alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Eleanora Fagan. Alikuwa anapiga muziki wa jazz.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Billie Holiday kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.