Nenda kwa yaliyomo

Thriller (wimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Thriller”
“Thriller” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Thriller
B-side Can't Get Outta The Rain
Imetolewa 23 Januari 1984
Muundo 7", 12", CD single
Imerekodiwa 1982
Aina Dance-pop, funk
Urefu 5:57 (albamu)
5:12 (2003 Single Edit)
Studio Epic Records
Mtunzi Rod Temperton
Mtayarishaji Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"P.Y.T. (Pretty Young Thing)"
(1983)
"Thriller"
(1984)
"I Just Can't Stop Loving You"
(1987)
Sampuli ya Sauti
[[Image:|180px|center|noicon]][[:Image:|file info]] · help

"Thriller" ni kibao kilichotamba cha mwaka wa 1984 ambacho kiliimbwa na msanii wa rekodi za muziki wa Marekani, Michael Jackson. Kibao hicho kilifanyiwa katika studio ya Epic. Nchini Marekani, kilishika nafasi ya nne kwenye chati za Billboard Hot 100 na namba moja kwenye chati za Radio & Records, wakati nchini Uingereza, kilishika nafasi ya kumi. Mnamo tar. 20 Februari 2006, single hii, vilevile video yake, zote zilitolewa tena kwenye albamu ya nyimbo mchanganyiko ya Visionary: The Video Singles. Video ya Thriller ulitazamiwa na MTV[1] kama muziki bora wa video wa "muda wote" (karne), na wenyewe unafikirika kuwa kama ndiyo moja ya alama ya nyimbo za Michael Jackson. Wimbo ulitolewa mapema kabisa nchini Uingereza, mnamo mwezi wa Novemba 1983.

Chati (1983/1984) Nafasi
ili
Australian ARIA Charts 4
Belgium Singles Chart 1
Danish Singles Chart 3
Dutch Singles Chart 3
French Singles Chart 1
German Singles Chart 21
Spanish Singles Chart 1
Swedish Singles Chart 20
UK Singles Chart 10
U.S. Billboard Hot 100 4
U.S. Billboard Hot Black Singles 3
Chart (2009) Peak
position
Australian ARIA Charts 3
Danish Singles Chart 32
Finnish Singles Chart[2] 11
German Singles Chart[3] 9
Spanish Singles Chart 1
Norwegian Singles Chart[4] 8
Irish Singles Chart 8
Italian Singles Chart 4[5]
New Zealand Singles Chart 12
UK Singles Chart 12
U.S. Billboard Hot Digital Songs[6] 2

Waliosampo

[hariri | hariri chanzo]

Wimbo huu (hasa kicheko cha Vincent Price cha mwishoni mwa wimbo) kimesampuliwa kwenye nyimbo kibao yaani:

  • Biz Markie – "Muddfoot"
  • Def Squad – "No Guest List"
  • DJ Jazzy Jeff & the Fresh Prince – "He's the DJ, I'm the Rapper — House Party Style"
  • Large Professor – "Mad Scientist"
  • N.W.A. – "100 Miles and Runnin'"
  • The Prodigy – "The Way It Is"
  • Public Enemy – "Fear of a Black Planet"
  • Lidzlicious the Velvet Pole – "Thriller (Stanley Remix)"
  • Kool Moe Dee – "Let's Go"
  • Esham – "Closed Casket"
  • Paul Hardcastle – "The Wizard"
  • Busta Rhymes akishirikiana na Linkin Park – "We Made It"
  • Blue kaimba "Thriller", "Beat It" na "Smooth Criminal" katika Guilty Tour.
  • Quasimoto – "BullyShit"
  • Three 6 Mafia – "They Bout To Find Yo Body"
  • Herve – "Cheap Thrills"

Megamix ya Thriller

[hariri | hariri chanzo]
“Thriller Megamix”
“Thriller Megamix” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya King of Pop
Imetolewa Januari 2009
Aina Dance-pop, funk
Studio Epic Records
Mtunzi Mbalimbali
Mtayarishaji Mbalimbali
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Wanna Be Startin' Somethin' 2008"
(2008)
Hakuna

Thiller Megamix ni toleo rasmi la megamix la mwaka wa 2009 la Michael Jackson na ndiyo single pekee kutoka katika albamu ya King of Pop. Hii pia ndiyo single yake ya mwisho kabla ya kufa.

  1. http://www.rockonthenet.com/archive/1999/mtv100.htm rockonthenet.com
  2. Suomen virallinen lista
  3. http://acharts.us/song/7886
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-17.
  5. "Italian Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-09. Iliwekwa mnamo 2009-07-17.
  6. "US Hot Digital Songs Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-17.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thriller (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.