Mto Songwe (Mbeya)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Songwe (Mbeya))
Mto Songwe ni jina la mito miwili ya Tanzania Kusini Magharibi: mmoja uko katika mkoa wa Mbeya (Songwe ya Kusini), mwingine katika mkoa wa Songwe (Songwe ya Kaskazini).
Songwe ya Kusini ina chanzo chake katika milima ya Umalila karibu na Santilya ikielekea kusini. Baada ya kupita Itumba (Ileje) mto ni mpaka kati ya Tanzania na Malawi hadi Ziwa Nyasa. Maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia ziwa hilo na mto Zambezi.
Tabia yake ya kubadilisha-badilisha mwendo wake imesababisha matatizo kati ya nchi jirani kwa sababu mashamba ya watu yamepatikana mara upande mmoja mara upande mwingine wa mpaka wa kimataifa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Geonames.org
- [1] Ilihifadhiwa 29 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- [2]
- Habari za kiakiolojia kutoka bonde la Songwe ya kaskazini
- Tanzania, Malawi to Implement Songwe River Basin Plan
9°43′07″S 33°56′18″E / 9.7186°S 33.9383°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Songwe (Mbeya) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |