26 Septemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Septemba 26)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 26 Septemba ni siku ya 269 ya mwaka (ya 270 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 96.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1849 - Ivan Pavlov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1904
- 1886 - Archibald Vivian Hill, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1922
- 1888 - T. S. Eliot, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1948
- 1897 - Mtakatifu Papa Paulo VI (kwa jina la Giovanni Battista Montini)
- 1898 - George Gershwin, mtunzi wa muziki Mmarekani
- 1936 - Winnie Madikizela-Mandela, mke wa kwanza wa Nelson Mandela
- 1948 - Olivia Newton-John
- 1949 - Jane Smiley, mwandishi kutoka Marekani
- 1976 - Michael Ballack, mchezaji mpira kutoka Ujerumani
- 1981
- 1986 - Brooke Allison, mwimbaji kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1925 - Paul Newman, mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani
- 1945 - Bela Bartok, mtunzi wa muziki Mhungaria
- 1973 - Samuel Flagg Bemis, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1976 - Leopold Ruzicka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1939
- 1978 - Karl Manne Siegbahn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1924
- 1996 - Geoffrey Wilkinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kosma na Damiano,Gideoni, Senatori wa Albano, Eusebi wa Bologna, Stefano wa Rossano, Nilo wa Rossano, Sebastiani Nam Igwan na wenzake, Lusia Kim Kopchu na wenzake, Tereza Couderc n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 7 Machi 2008 at the Wayback Machine.
- On this day in Canada Archived 23 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 26 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |