Winnie Madikizela-Mandela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Winnie Madikizela-Mandela(amezaliwa tarehe 26 Septemba 1936, kama Nomzamo Winifred Zanyiwe Madikizela) nchini Afrika ya Kusini. Ni mwanasiasa wa Afrika ya kusini, aliyewahi kushika nafasi kadhaa serikalini, kama vile African National Congress Women's League. Kwa sasa ni mwanachama katika chama cha National Executive Committee. Japokuwa ameolewa na Nelson Mandela katika wakati Nelson Mandela anapata kuwa Raisi wa Afrika ya kusini, mwezi wa tano mwaka 1994, hajawahi kuwa mwanamke wa kwanza wa Afrika ya kusini. Kwani wawili hao, waliachana miaka miwili baadae kwa madai ya kuwa Winnie, alikuwa sio mwaminifu baada ya Nelson kutoka gerezani mwezi wa pili mwaka 1990. Talaka ya mwisho ilitolewa tarehe 19/03/1996.

Winnie Madikizela-Mandela

mpiganiaji haki, ni maarufu kwa upande wa wanachama wake , ambao humwiita 'Mama wa Taifa' lakini wapo wanaopingana na hali hii hususani baada ya kukumbana na mashtaka mbalimbali kama vile, kukiukwa kwa haki za binadamu kama vile kumtesa na hatimaye mtoto wa miaka 14, Stompie Moeketsi mwaka 1989. .[1]

Mwezi wa tatu mwaka 209, Tume ya kujtegemea y Uchaguzi, ilimua kuwa Winnie Mandela Ndiye mgombea aliyechaguliwa kuwa mgombea wa uraisi kwa tiketi ya chama cha ANC, na angeweza kugombea katika mkuu wa nchi hiyo pamoja na kukabiliwa na kashfa mbalimbali.

Miaka ya awali[hariri | hariri chanzo]

Jina lake la asili la Xhosani Nomzamo likimaanisha yeye anayejarubu. Alizaliwa katika kijiji cha Mbogoweni, Huko mBizana katika Mkoa wa Pondo ambao kwa sasa ndio mjii mkuu wa upande wa kusini mwa Afrika ya kusini. Ameshafanya kazi kazi mbalimbali katika maeno mbalimbali kama vile Bantustan ya Transkei ikiwa ni pamoja na serikali ya Transkei, na kuishi katika maeneo mbalimbali kama vile Banzana, Shawbury na Johannesburg Alikutana na mpingaji wa mfumo wa ubaguzi mwaka 1957. Walifunga ndoa mwaka 1958 na wana watoto wawili wa kike ambao ni Zenani aliyezaliwa mwaka 1959 na Zindzi aliyezaliwa mwaka 1960. Pia Winnie anasumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa Kisukari.[2]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Pamoja na kuwa ma vizuizi vya upatikanaji elimu wa watu weusi katika kipindi cha sera ya ubaguzi nchini Afrika ya Kusini, alipata shahada yake ya kaziza jamii katika shule ya Jan Hofmeyer katika mji mkuu wa Nchi hiyo Johannesburg na miaka mingine baadae alipata shahada ya pili katika Mahusiano ya kimataifa katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand pia jiji la Johannesburg.

Sera ya ubaguzi ya Apatheid[hariri | hariri chanzo]

Aliibuka kamakiongozi wakuwapiga wazungu na sheria ya kuwapedelea wazungu katika miaka ya baadae ya kifung cha mume wake ambacho kilikuwakuanzia mwezi wanane mwaka1963 hadi mwezi wa pili mwaka 1990,. Katika muda mwingi katika miaka hiyo alikuwa akifukuzwa na kukimbilia katika mjiwa Brandfort katika eneo la Orange Free, alikaa hapo na alikua akiruhusiwa kutoka kwenda kumsalimia mume wa katika kisiwa cha Robben.

Katika miaka ya 1980 na miaka ya 1990, alivuta hisia za taifa na mataifa kwa ujumla,na alikuwa akifanyiwa mahojiano nawaandishi wa habari wa kitaifa na kimataifa kama vile Jain Allan Mwandishi anaeongoza katika uandikaji katika gazeti laSunday Times.

Mwezi wa kumi mwaka 2008,alimwandikia barua Jacob Zuma, na raisi ambaye alikuwa ndio tu, aemstaafu, Thabo Mbeki akililalamikia kwa chinichini kazi aliyopewa na chama cha ANC katka harakati zake za kupinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika ya kusini.

Katika suala la harakatiza kupigania kuachiwa kwa wafungwa wa kisiasa nchini kwetu,harakati zetu ziliamua kuweka historia ya Nelson Mandela kamawakilishi katika haiba ya wafungwa wengine, na pia kutumia historia yake binafsi ya siasa, na kujumuisha mashtaka ya aliyekuwa mkewe Winnie Mandel, nakuifanya serikali ya Afrika ya Kusini kama ambayo haina huruma katika mfumowa ubaguzi nchini humo maarufu kama apartheid.[3]

Kushtakiwa kwa unyanyasaji na mauaji[hariri | hariri chanzo]

Heshima yake ilishuka, kutokana na kile ambacho wengi wanaamini kua kiu ya damu. Mfano halisi wa hali hii ni hotuba yakealiyoitoa katika eneola Munsieville katika siku ya tarehe 13/04/1985. ambapo alikubali na kuaisha adhabu ya kuua watu kwa kuwavalisha matairi na kuweka mafuta ya Petrol na kisha kuwasha moto, katika harakati za kumaliza na kutokomeza mfumo wa Apartheid. Alisema kuwa, kwa kutumia viberiti vetu, na cheni zetu tutabadilisha nchi yetu.[4]

Mambo zaidi yaliyoshusha heshima yake,ni mashataka aliyoshtakiwa na mlinzi wake wa binafsi,Jerry Richardson, kuwa Winnie Madikezela Mandela ameagiza kukamatwa na kuuliwa tarehe 29/12/1989.Richard alimteka mtotowa miaka14, aiyeitwa James Seipei pia najulikana kama Stompie Moeketsi,na watoto wengin watatu, kutoka katika nyumba ya Waziri mchungaji Paul Verryn.Mrs Mandelaalidai kuwa aliwachukua wototo hao na kuwapeleka katika nyumba yeke,kutokana na kuhisi kuwa Mchungaji huyo al ikuwa akiwanyanyasa kijinsia watoto hao.Watoto hao wanne,walipigwa sana iliwakubali kuwa walikuwa wakifanya mapenzi na mchungaji huyo. Pia Saipei alikuwa akidaiwa kuwa alikuwa mpelelezi. Mwili wa Saipei ulikutwa katika eneo la wazi ukiwa na vidodo vya kuchomwa tarehe 06/01/1990.[5]

Mwaka 1991 alikamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya kuteka nyara na kuw nyongeza katika mateso yaliyosababisha kfifo cha Saipei. Kifungo chake cha miaka sita kilipunguzwa na kuwa kulipa faini baada ya kutokana na kukata rufaa

Kabla ya Mfumo wa ubaguzi/ Apartheid[hariri | hariri chanzo]

Wakati wa mabadiliko ya Afrika ya kusini kuwa serikali ya Kidemokrasia, Winie alikuwa kidogo anawapendelea wazungu kuliko mume wake.Pamoja na kuwa na mume wake wakati akiachiwa huru mwakan1990.Miaka 38, ya ndoa ilimalizika walipaochana mwezi wa nne mwaka1992,baada ya kugundulika kuwa alikuwa sio mwaminifu kwa kipindi ambacho Mandela alipokuwa gerezani.Wawili hao walitalikiana mwezi wa tatu mwaka 1996.lakini alikuwa tayari kashapata jina la pili la Madikizela-Mandela. Alichaguliwa kuwa waziri wa sanaa,utamaduni, Sayansi na tekinolojia kama madaraka yake ya kwanza katika seriakali baada ya sera ya ubaguzi nchi humo yaani Apartheid.mwezi wa tano mwaka 1994,lakini alinyang'anywa wadhifa huo miezikumi na moja baadae baadaya kushutumiwa kwa kula rushwa.[6] Alibakia maarufu kwa wnachama wengi wa chamacha ANC, na mwezi wa kumi na mbili mwaka1993,alichaguliwa kugombea nafasi ya uraisi kwa tiketi ya chama ca ANC, chamacha wanawake.japokuwa alijivua wadhifa huo na kuwa makamu mwenyekiti wa Raisi wa chama hicho, katika harakati kwenye mkutanowa Mafikeng mwezi wa kumi na mbili mwaka 1997. Mwaka 1997,alitokezakatika baraza laUkweli na Mapatani.Mchungai Desmond Tutu, alitambua umuhimu wake na nafasi yake katika harakati za kupigania uhuru na usawa lakini alimwomba akubali makosa yake na aweze kuomba msamaha.Katika kujibu alisema na kukubaki kuwa mambo yalikwenda vibaya sana.

Mashtaka ya udanganyifu[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 24/04/003, alikutwa na hatia ya mashtaka43,ya udanganyifu,25, ya wizi, na msaidizi wake Addy Moolman, alishtakiwa kwa makosa 58 ya udanganyifu, 25, ya wizi. Wote wawili walikana mashtaka yanayotokana na fedha zilizopotea kutokana na maombi ya mkopo na gharama za mazishi,maombi ambayo waombwai hawayapata licha ya fedha kutolewa. Medikizela-Mandela alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela. .[7] Muda mfupi baada ya kuhukumiwa alistaafu nafasi zote alizokuwa nazo katika chama cha ANC cha wanawake.[8] Mwishoni mwa mwaka 2003, rafiki yake wakaribu, Hazel Crane aliuwawa.Crane hapo mwazo alitaka kununua nyumba ya Madikizela-Mandela. .[9] Mwezi wa saba mwaka 200,jajo wa mahakama kuu ya Pretoria alisemakuwa, makosa hayawezi kufanywa ili kumfaidisha mtu. Jaji huyo alimfutia mashtaka ya wizi na kuacha na mshtaka ya udanganyifu na hivyo kuanya kifungo chake kiwe cha miaka mitatu na miezi sita.[10]

=Kunyimwa pasi ya kuingia Canada[hariri | hariri chanzo]

Habari za wiki(Wikinews)zina habari zinazofanana:Mke wa Zamani wa Nelson Mandela amenyimwa pasi ya kuingia Canada Mwezi wa sita mwaka 2007, kamiseni ya juu ya Canada, nchini Afrika ya kusini, ilikataa kumpa pasi WinnieMandela ya kusafiri hadi Toronto,Canada ambapo alikuwa amepangiwa kushiriki katika tamasha la harambee lilopangwa na kituocha sanaa cha MusicNoir, ambacho kilijumuisha kuoneshwa kwa mara ya kwanza kwa tamthiliya ya The Passion of Winnie iliyokuwa imeigizwa kuendana na maisha yake. .[11]

Kurudi katika siasa[hariri | hariri chanzo]

Wakati chama cha ANC,kilipotangaza uchaguzi wa bodi ya uchaguzi ya taifa tarehe 21/12/2007.Mandela alishika nafasi ya kwanza kwa kuwa na kura 2845.[12][13]

Msamaha kwa wahanga wa maandamano[hariri | hariri chanzo]

Mandela aliyapinga mandamano yenye fujo ya kuanzia mwezi wa tano hadi mwezi wa sita mwaka 2008,yaliyoanza katika jiji la Johannesburg na kuenea katika nchi nzima na kuilaumu serikali kw kutokuwa na kushindwa kutoa huduma ya makazi kwa waathirika wa maandamano.[14] Pia aliomba msamaha kwa waathirika walipata matatio kutokana na maandamano.riots[15]. Halikadhalika alikwenda kuwatembelea waathirika hao katika mji wa Alexandra.]].[16] Pia alijitolea nyumba yake kwa ajili ya wahamiaji kutoka nci ya jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.[17] Alionya kuwa wapanda maandamano wangeweza kuvamia katika mfumo wa reli ya Gauteng..[18]

Uchaguzi mkuu wa mwaka 2009[hariri | hariri chanzo]

Mandela alishika nafasi ya tano katia uchaguzi ANC,kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2009, waliokuwa mbele yakewalikuwa ni pamoja na Raisi wa sasa wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma aliyekuwa raisi wa Afrika ya kusini Kgalema Motlante, Makamu wa raisi wa Afrika Kusini Baleka Mbete na Waziri wa fedha Trevo Manuel. Makala katika gazetila the Observer, lilisema kuwa, suala la Winnie kupata nafasi ya juu katika chaguzi hiyoinaonesha kuwa,chama chake kina imani nae sana na pia yeye ni hazina katika chama hicho hususani kwa watu masikini.[19]

Muonekano wake katia Filamu na televishen[hariri | hariri chanzo]

Tina Lifford anmwelezea Mandela, mwaka 1997, katika tamthilia ya mandela and De Klerk,[20] Sophia Okedo anamwelezea Mandela katika tamthiliya katika kituo cha televishei cha BBC.[21] Jennifer Hudson atacheza nafasi ya mama Mandela katika mchezo unaofuatia na utakaoazwa kurekodiwa mwaka 2010. Jennifer Hudson amekuwa akicheza nafasi ya Mandela katika filamu ya inayoitwa "Winnie" itakayoongozwa na Darrel J. Roodt. Andre Pieterse, Roodt na Paul L.Johnson inayoegemea katika mwongozo wa Anne Marie du Preez Bezdrob inayohusu historia ya maisha yake "Winnie Mandela: A life [22] Umoja wa wafanyakazi wa Afrika ya kusini,wamepinga mpango huu, na kueleza kuwa watafungua mashtaka kupinga filamu hiyoiwapo mpangilio wa waigizaji hautabadishwa.[23]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viunga vya nje[hariri | hariri chanzo]