Karl Manne Georg Siegbahn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Karl Manne Siegbahn)
Karl Manne Siegbahn

Karl Manne Georg Siegbahn (3 Desemba 188626 Septemba 1978) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uswidi. Alichunguza vipengele vingi vya fizikia, baadhi yao usumaku, mionzi ya eksirei na nadharia ya atomu. Mwaka wa 1924 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Mwana wake ni mwanafizikia Kai Siegbahn.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karl Manne Georg Siegbahn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.