18 Novemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Novemba 18)
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 18 Novemba ni siku ya 322 ya mwaka (ya 323 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 43.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1786 - Carl Maria von Weber, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1897 - Patrick Blackett, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1948
- 1906 - George Wald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 1939 - John O'Keefe, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2014
- 1977 - Fabolous, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1886 - Chester Arthur, Rais wa Marekani (1881-1885)
- 1922 - Marcel Proust, mwandishi kutoka Ufaransa
- 1941 - Walther Nernst, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1920
- 1952 - Paul Eluard, mshairi kutoka Ufaransa
- 1962 - Niels Bohr, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1922
- 1965 - Henry Wallace, Kaimu Rais wa Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya kutabaruku mabasilika ya Mtume Petro na Mtume Paulo, lakini pia ya watakatifu Romano wa Kaisarea, Patroklo wa Bourges, Maudeto, Romakari, Teofredo abati, Odo wa Cluny, Filipina Duchesne n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 18 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |