Tofauti kati ya marekesbisho "Ruaha Mkuu"

Jump to navigation Jump to search
768 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
[[File:DryRuaha Great RuahaNational RiverPark andPanorama.jpg|thumb|center|800px|Ruaha Mkuu jinsi ilivyokauka mwaka [[2006Mandhari]] kwenye eneo laya [[Hifadhi ya Ruaha|Hifadhi ya taifaTaifa ya Ruaha]] na mto wake [[tarehe]] [[27 Julai]] [[2003]].]]
'''Ruaha Mkuu''' (pia: '''Ruaha Mkubwa''') ni [[mto]] muhimu nchini [[Tanzania]] na [[tawimto]] wa [[Rufiji (mto)|Rufiji]]. Huitwa "Ruaha Mkuu" kwa kuutofautisha na "Ruaha Mdogo" unaoishia ndani yake, si mbali na [[Iringa Mjini]]. [[Jina]] Ruaha kwa [[Kihehe]] linamaanisha "maji mengi".
 
[[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake ni mito mingi midogo inayotelemka [[milima]] ya [[nyanda za juu]] za [[kusini]] mwa Tanzania, hasa [[safu za milima]] ya [[Uporoto]] na ya [[Kipengere]]. Mito hii inakusanya [[maji]] yake kwenye [[tambarare]] ya [[Usangu]] na ndipo Ruaha inapoanza. Mito mikubwa zaidi inayoungana hapa na kuunda Ruaha ni pamoja na [[mto Mbarali]], [[mto Kimani]] na [[mto Chimala]].
 
Karibu na [[Ng’iriama]] mto unatoka katika Usangu na kuingia [[Hifadhi ya Ruaha|hifadhi ya kitaifa ya Ruaha]]. Inaendelea kupokea Ruaha Mdogo na [[mto Kisigo]] kabla ya kuingia katika [[ziwa]] la [[lambo la Mtera]], halafu inaendelea hadi ziwa la [[lambo]] la [[Kidatu]].
 
Baada ya Kidatu, Ruaha Mkuu unapita [[tambarare]] ya [[Kilombero]] hadi kuishia katika mto Rufiji.
 
==Matatizo ya ekolojia ya mto==
[[File:Dry Great Ruaha River and.jpg|thumb||Ruaha Mkuu jinsi ilivyokauka mwaka [[2006]] kwenye eneo la [[Hifadhi ya Ruaha|Hifadhi ya taifa ya Ruaha]].]]
Maji ya Ruaha Mkuu ni muhimu kwa [[ekolojia]] ya [[beseni]] lake pamoja na [[watu]] wote wanaoishi huko. Lakini matumizi ya [[binadamu]] yameleta mvurugo kwa ekolojia ya mto na tangu mwaka [[1993]] mto umeanza kukauka wakati wa [[ukame]]. Uhaba wa maji umesababishwa na matumizi mabaya ya maji upande wa miradi mikubwa ya [[mpunga]] katika Usangu.
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.wwf.org.uk/filelibrary/pdf/ruaha.pdf WWF.org - The Ruaha Water Programme]
* [www.iwmi.cgiar.org/Africa/files/RIPARWIN/05/_downloads/Fact-Factsheet_EcoHyd_GRR.doc] Ecohydrology of Great Ruaha River
* [http://www.adventurecamps.co.tz/ruahainfo.htm Ruaha information with images]
* [http://www.fao.org/docrep/008/ad793b/AD793B03.htm FAO review]
* [http://www.iwmi.cgiar.org/Africa/files/RIPARWIN/05/_downloads/Fact-Factsheet_EcoHyd_GRR.doc] EcohydrologyFAO - fact sheet on the ecohydrology of the Great Ruaha River (2003)]
Öhman, May-Britt, Taming Exotic Beauties: Swedish Hydro Power Constructions in Tanzania in the Era of Development Assistance, 1960s - 1990s, Stockholm, 2007, PhD Thesis, http://www.diva-portal.org/smash/record.jsf?pid=diva2:12267
 
{{coord|7|56|S|37|52|E|display=title|region:TZ_type:river_source:GNS-enwiki}}
 
{{Mito ya Tanzania}}

Urambazaji