3 Juni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Juni 3)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Juni ni siku ya 154 ya mwaka (ya 155 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 211.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1844 - Garret Hobart, Kaimu Rais wa Marekani
- 1873 - Otto Loewi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1936
- 1895 - Robert Hillyer, mshairi kutoka Marekani
- 1899 - Georg von Bekesy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1961
- 1913 - Jack Cope, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1924 - Torsten Wiesel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1981
- 1929 - Werner Arber, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1978
- 1931 - Raul Castro, rais wa nchi ya Kuba (tangu 2006)
- 1936 - Larry McMurtry, mwandishi kutoka Marekani
- 1956 - Severine Niwemugizi, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1821 - Egwale Seyon, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
- 1875 - Georges Bizet, mtunzi wa opera kutoka Ufaransa
- 1886 - Watakatifu Karolo Lwanga na wenzake: Luka Banabakintu, Yakobo Buzabaliawo, Gyavira Musoke, Ambrosi Kibuka, Anatoli Kiriggwajjo, Mukasa Kiriwawanvu, Achile Kiwanuka, Kizito, Adolfo Mukasa Ludigo, Mugagga Lubowa, Bruno Sserunkuma, Mbaga Tuzinde, Wakatoliki wafiadini wa Uganda, pamoja na wengine wa Anglikana
- 1924 - Franz Kafka, mwandishi wa Kijerumani kutoka milki ya Austria-Hungaria
- 1963 - Mtakatifu Papa Yohane XXIII, Papa kutoka Italia
- 1964 - Frans Eemil Sillanpää, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1939
- 1977 - Archibald Vivian Hill, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1922
- 1989 - Ayatollah Ruhollah Khomeini, kiongozi wa mapinduzi ya Uajemi ya 1979
- 2016 - Muhammad Ali, mwanamasumbwi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Karolo Lwanga na wenzake, Sesili wa Karthago, Hilari wa Carcassonne, Klotilda malkia, Lifardi, Oliva wa Anagni, Kevin wa Glendalough, Jenesi wa Clermont, Isaka wa Cordoba, Davini wa Lucca, Morandi wa Cluny, Kono wa Diano, Yohane Grande, Petro Dong n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |