Bondia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mabondia wa Ugiriki ya Kale (mnamo 1500 BK)

Bondia ni mwanamichezo anayetekeleza mchezo wa ngumi. Anaweza kuitwa pia "mpiga ngumi" au "mwanamasumbwi".

Bondia ni mtu wa kiume au wa kike anayepigana na bondia mwingine kwa kutumia mikono inayofungwa kwa namna ya ngumi akifuata sheria na kanuni za mchezo huu. Kwa kawaida mabondia huvaa glovu. Kwa mapambano au mechi mabondia hupangwa kwa vikundi au daraja kulingana na uzito wao.

Mara nyingi mabondia hupangwa pia kwa sehemu mbili wale wanaofanya mchezo kwa ajili ya mchezo na wengine wanaocheza kwa pesa. Wanaojulikana zaidi ni mabingwa wa mchezo wa ngumi kwa pesa.


Mabondia=[hariri | hariri chanzo]

A[hariri | hariri chanzo]

B[hariri | hariri chanzo]

C[hariri | hariri chanzo]

D[hariri | hariri chanzo]

E[hariri | hariri chanzo]

F[hariri | hariri chanzo]

G[hariri | hariri chanzo]

H[hariri | hariri chanzo]

I[hariri | hariri chanzo]

J[hariri | hariri chanzo]

K[hariri | hariri chanzo]

L[hariri | hariri chanzo]

M[hariri | hariri chanzo]

N[hariri | hariri chanzo]

O[hariri | hariri chanzo]

P[hariri | hariri chanzo]

Q[hariri | hariri chanzo]

R[hariri | hariri chanzo]

S[hariri | hariri chanzo]

T[hariri | hariri chanzo]

U[hariri | hariri chanzo]

V[hariri | hariri chanzo]

W[hariri | hariri chanzo]

Y[hariri | hariri chanzo]

Z[hariri | hariri chanzo]

Orodha za mabondia[hariri | hariri chanzo]

Kuna taasisi na tovuti mbalimbali zinazoorodhesha mabondia mashuhuri kulingana daraja.