19 Juni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Juni 19)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 19 Juni ni siku ya 170 ya mwaka (ya 171 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 195.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1623 - Blaise Pascal, mtaalamu wa hisabati, falsafa na teolojia kutoka Ufaransa
- 1861 - José Rizal, mwandishi mzalendo kutoka Ufilipino
- 1897 - Cyril Hinshelwood, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1956
- 1906 - Ernst Boris Chain, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1945
- 1910 - Paul Flory, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1974
- 1919 - Placidus Gervasius Nkalanga, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1945 - Aung San Suu Kyi, mwanasiasa wa Myanmar na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1991
- 1962 - Paula Abdul, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1967 - Mia Sara
- 1978 - Zoe Saldana, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1027 - Mtakatifu Romwaldo, abati kutoka Italia
- 1926 - Antoni Gaudi, msanifu majengo wa Hispania
- 1993 - William Golding, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1983
- 2000 - Mary Benson, mwandishi wa kike wa Afrika Kusini
- 2008 - Noni Jabavu, mwandishi wa Afrika Kusini
- 2013 - James Gandolfini, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Romualdo Abati, Gervasi na Protasi, Deodati wa Nevers, Hildemarka, Lambati wa Zaragoza, Juliana Falconieri, Remi Isore, Modesti Andlauer n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 19 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |