Nenda kwa yaliyomo

Paul Flory

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Flory (1973)

Paul John Flory (19 Juni 19109 Septemba 1985) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usanisi wa molekuli kubwa sana. Mwaka wa 1974 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Flory kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.