Antoni Gaudí
Mandhari
(Elekezwa kutoka Antoni Gaudi)
Antoni Plàcid Guillem Gaudí i Cornet (amezaliwa tar. 25 Juni 1852, Reus / Riudoms ? - 19 Juni 1926, Barcelona)[1] alikuwa msanifu majengo nchini Hispania (Catalonia). Yeye alisoma katika Escola Tècnica Superior d'Arquitectura mjini Barcelona. Alikuwa maarufu kwa kipekee za miundo.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Kanisa la Familia Takatifu Barcelona
-
La Pedrera (Uwindo) Barcelona
-
Casa Batlló (Nyumba ya Batlló, Barcelona
-
Palau Güell, Barcelona
-
Casa Vicens, Barcelona
-
El Capricho, Comillas
-
Parc Güell, Barcelona
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Gaudi designer
- (Kikatala) Patrimoni.gencat, L'obra de Gaudí
- (Kiingereza) Artcyclopedia
- (Kifaransa) Gaudí et Art nouveau en Catalogne
- (Kikatala) Gaudí, arquitecte i artesà Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2016 kwenye Wayback Machine. (video)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Antoni Gaudí kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |