José Rizal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
José Rizal.

José Protacio Rizal Mercado y Alonso Realonda (19 Juni 1861 - 30 Desemba 1896) alikuwa mwandishi mzalendo Mfilipino. Riwaya zake mbili, Noli me Tangere na El Filibusterismo, zilikosoa ukiukwaji wa Kihispania. Rizal alinyongwa mwaka wa 1896.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]