Jimbo Kuu la Mombasa
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo kuu la Mombasa)
Jimbo Kuu la Mombasa (kwa Kilatini Archidiocesis Mombasaën(sis)) ni mojawapo kati ya majimbo 26 ya Kanisa Katoliki nchini Kenya.
Ni makao makuu ya kanda ya Kanisa ya eneo la mashariki, ambayo inaundwa nalo na majimbo ya Malindi na Garissa.
Mwaka 2004 lilikuwa na waamini 235.700 kati ya wakazi 1.804.652.
Kwa sasa linaongozwa na askofu mkuu Martin Musonde Kivuva.