Nenda kwa yaliyomo

Jimbo Katoliki la Malindi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Papa Leo XIV
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Jimbo Katoliki la Malindi ni mojawapo kati ya majimbo 28 ya Kanisa Katoliki nchini Kenya. Liko chini ya jimbo kuu la Mombasa.

Makao makuu yako mjini Malindi. Askofu ni Wilybard Lagho.

Eneo lake ni kilometa mraba 33,254, ambamo mwaka 2023 kati ya wakazi 646,640 Wakatoliki walikuwa 42,235 (6.5% ya wakazi wote), wakigawanyika katika parokia 23. Mapadri ni 44, wakiwemo wanajimbo 18 na wanashirika 26. Watawa wa kiume ni 41 na wa kike ni 90.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Malindi kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.