Jimbo Kuu la Mbarara
Mandhari
Jimbo Kuu la Mbarara (kwa Kilatini Archidioecesis Mbararaensis) ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa lina majimbo ya Fort Portal na Hoima, Kabale na Kasese chini yake.
Askofu mkuu wake ni Paul K. Bakyenga.
Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 10,980, ambapo kati ya wakazi 2.611.000 (2007) Wakatoliki ni 970,125 (37.2%).