Jimbo Katoliki la Kabale
Jump to navigation
Jump to search
Jimbo Katoliki la Kabale (kwa Kilatini "Dioecesis Kabalena") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Mbarara.
Askofu wake ni Callistus Rubaramira.
Yaliyomo
Historia[hariri | hariri chanzo]
Uongozi[hariri | hariri chanzo]
Takwimu[hariri | hariri chanzo]
Eneo ni la kilometa mraba 5,530, ambapo kati ya wakazi 1,723,716 (2013) Wakatoliki ni 789,132 (45.8%).