6 Januari
Mandhari
(Elekezwa kutoka Januari 6)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 6 Januari ni siku ya sita ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 359 (360 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1499 - Mtakatifu Yohane wa Avila, padri na mwalimu wa Kanisa kutoka Hispania
- 1650 - Mtakatifu Nikolasi Saggio wa Longobardi, mtawa wa shirika la Waminimi kutoka Italia
- 1878 - Carl Sandburg, mwandishi na mwanahistoria kutoka Marekani
- 1925 - Kim Tae Jung, Rais wa Korea Kusini (1998-2003)
- 1944 - Rolf Zinkernagel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1996
- 1945 - Philip Schultz, mshairi kutoka Marekani
- 1956 - Elizabeth Strout, mwandishi kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1670 - Mtakatifu Karolo wa Sezze, bradha wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1919 - Theodore Roosevelt, Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1906
- 1990 - Pavel Cherenkov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958
- 1993 - Dizzy Gillespie, mwanamuziki kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sherehe ya Epifania lakini pia kumbukumbu za watakatifu Juliani na Basilisa, Felisi wa Nantes, Petro Tomaso, Andrea Corsini, Yohane wa Ribera, Karolo wa Sezze, Rafaela Maria wa Moyo Mtakatifu, Andrea Bessette n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Ilihifadhiwa 4 Juni 2014 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 6 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |