Nenda kwa yaliyomo

Juliani na Basilisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Kristo na watakatifu Juliani na Basilisa, Celsus na Machonila", mchoro wa Pompeo Batoni, 1736-8.

Juliani na Basilisa (walifariki Antinoe, Misri, 304 hivi) walikuwa mume na mke. Waliuawa kwa ajili ya imani ya Kikristo wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Januari[2][3], lakini pia 7 Januari na 9 Januari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.