Bergama
Mandhari
Bergama ni kamji na wilaya ya Mkoa wa İzmir katika Kanda ya Aegean huko nchini Uturuki. Hapa ilikuwa mahali pa Pergamon iliyokuwa mji mashuhuri wa Ugiriki ya Kale.
Mtibabu wa kale Galenos alizaliwa hapa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Bergama in İzmir Ilihifadhiwa 2 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine. (Kituruki)
- District governor's official web site Ilihifadhiwa 11 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine. (Kituruki)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bergama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |