Bahari ya Uchina ya Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Bahari ya Uchina ya Mashariki ya Mashariki, inaonyesha kanda iliyoizunguka, visiwa, na nchi.

Bahari ya Uchina ya Mashariki ni bahari iliyopo kando ya mashariki mwa nchi ya Uchina. Bahari hii ni sehemu ya Bahari ya Pasifiki na inachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 1,249,000. Nchini Uchina, bahari hii inaitwa Bahari ya Mashariki.

Nchini Korea Kusini, bahari hii kuna kipindi huitwa Bahari ya Kusini, lakini hii mara nyingi hutumiwa kutajia eneo la karibu na pwani ya kusini mwa nchi ya Korea Kusini.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Gas and oil rivalry in the East China Sea Asia Times Online. 27 Julai 2004.

BlankAsia.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Uchina ya Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.