31 Desemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka 31 Disemba)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 31 Desemba ni siku ya 365 ya mwaka (ya 365 katika miaka mirefu). Daima ni ya mwisho.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1695: Kodi ya madirisha inaanzishwa Uingereza; wenye nyumba wengi wanafunga madirisha kwa matofali ili kuepukana na kodi hiyo
- 1999 - Eneo la mfereji wa Panama linarudishwa kwa serikali ya Panama kutoka kwa utawala wa Marekani
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1378 - Papa Callixtus III
- 1491 - Jacques Cartier, mpelelezi wa Amerika ya Kaskazini kutoka Ufaransa
- 1572 - Go-Yozei, mfalme mkuu wa Japani (1586-1611)
- 1869 - Henri Matisse, mchoraji kutoka Ufaransa
- 1934 - Chedieli Yohane Mgonja, mwanasiasa wa Tanzania
- 1937 - Avram Hershko, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2004
- 1948 - Donna Summer
- 1958 - Defao, mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 1968 - Junot Díaz, mwandishi kutoka Marekani
- 1977 - Psy, mwimbaji kutoka Korea Kusini
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 335 - Mtakatifu Papa Silvester I
- 878 - Seiwa, mfalme mkuu wa Japani (858-876)
- 1864 - George Mifflin Dallas, Kaimu Rais wa Marekani (1845-1849)
- 2009 - Rashidi Kawawa, waziri mkuu wa Tanzania
- 2022 - Papa Benedikto XVI, Papa wa Kanisa Katoliki miaka 2005 - 2013
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Silvester I, Donata, Paulina na wenzao, Kolomba wa Sens, Zotiko wa Konstantinopoli, Melania Kijana na Piniani, Barbasiani wa Ravenna, Mario wa Lausanne, Yohane Fransisko Regis, Katerina Labouré n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 31 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |