Avram Hershko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Avram Hershko

Avram Hershko (amezaliwa 31 Desemba 1937) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Israel. Hasa alichunguza kuyeyusha kwa protini. Mwaka wa 2004, pamoja na Aaron Ciechanover na Irwin Rose alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Avram Hershko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.