25 Mei
Mandhari
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 25 Mei ni siku ya 145 ya mwaka (ya 146 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 220.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1865 - Pieter Zeeman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902
- 1865 - John Mott, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946
- 1887 - Mtakatifu Pio wa Pietrelcina, padri wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Italia
- 1908 - Theodore Roethke, mshairi kutoka Marekani
- 1925 - Shehu Shagari, Rais wa Nigeria (1979-1983)
- 1926 - Miles Davis, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1933 - Patrick Cullinan, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1956 - Rajab Hamad Juma, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1959 - Abdul Jabir Marombwa, mbunge wa Tanzania
- 1961 - Abdulkarim Esmail Hassan Shah, mbunge wa Tanzania
- 1975 - Lauryn Hill, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 615 - Papa Boniface IV
- 735 - Mtakatifu Bede Mheshimiwa
- 1085 - Mtakatifu Papa Gregori VII
- 1261 - Papa Alexander IV
- 1595 - Mtakatifu Filipo Neri, padri wa Italia
- 1607 - Mtakatifu Maria Magdalena wa Pazzi, bikira wa Italia
- 1927 - Mtakatifu Kristofa Magallanes, padri na mfiadini wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko
- 1983 - Mfalme Idris I wa Libya
- 2020 - George Floyd
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Beda, Papa Gregori VII, Maria Magdalena wa Pazzi, Kanio wa Atella, Denisi wa Milano, Zenobi wa Firenze, Leo wa Mantenay, Aldelmo, Genadi wa Astorga, Jerio, Petro Doan Van Van, Magdalena Sofia Barat, Dionisi Ssebuggwawo, Maria Alfonsina Danil, Augustino Caloca n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 25 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |