Patrick Cullinan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Patrick Cullinan
225px
Amezaliwa Patrick Roland Cullinan

Pretoria, Afrika Kusini
Amekufa 25 Mei 1933
Cape Town, Afrika Kusini
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mwandishi

Patrick Roland Cullinan (amezaliwa 25 Mei 1933 mjini Pretoria) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Alisoma Kiingereza katika Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza, akawa mkufunzi wa lugha ya Kiingereza mjini Cape Town. Hasa alitunga mashairi.

Vitabu vyake[hariri | hariri chanzo]

  • Today is not different (1978)
  • White Hail in the Orchard (1984)
  • Selected Poems (1994)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patrick Cullinan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.