Abdul Jabir Marombwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Abdul Jabir Marombwa (amezaliwa tar. 25 Mei 1959) ni mbunge wa jimbo la Kibiti katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Abdul Jabir Marombwa (21 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]