Abdulkarim Esmail Hassan Shah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Abdulkarim Esmail Hassan Shah (amezaliwa tar. 25 Mei 1961) ni mbunge wa jimbo la Mafia katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Abdulkarim Esmail Hassan Shah (21 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.