Rajab Hamad Juma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rajab Hamad Juma (amezaliwa tar. 25 Mei 1956) ni mbunge wa jimbo la Tumbatu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Rajab Hamad Juma". 21 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.