Pieter Zeeman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pieter Zeeman

Pieter Zeeman (25 Mei 18659 Oktoba 1943) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uholanzi. Hasa anajulikana kwa utafiti wake wa usumaku na wa nuru. Mwaka wa 1902, pamoja na Hendrik Lorentz alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pieter Zeeman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.