Mto Rumpungu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mto Rumpungwe)
Mto Rumpungu (pia: Rumpungwe, Lumpungu, Umpungu) ni mto wa Burundi (mkoa wa Cankuzo na mkoa wa Ruyigi) na wa Tanzania (mkoa wa Kigoma). Ni tawimto la mto Malagarasi, ulio wa pili nchini Tanzania ukiwa kwa urefu (km 475)[1][2] na ambao unatiririka hadi ziwa Tanganyika, ukiwa mto unaoliingizia maji mengi zaidi. Baadaye, maji mengine yanachangia mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Orodha ya mito ya mkoa wa Cankuzo
- Orodha ya mito ya mkoa wa Ruyigi
- Orodha ya mito ya mkoa wa Kigoma
- Orodha ya mito ya Burundi
- Orodha ya mito ya Tanzania
- Mito mirefu ya Afrika
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kisangani, Emizet F.; Bobb, F. Scott (2010). Historical Dictionary of the Democratic Republic of the Congo. Scarecrow Press. uk. 299. ISBN 978-0-8108-5761-2. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2012.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Elf-Aquitaine (Company) (1992). Bulletin des centres de recherches exploration-production Elf-Aquitaine. Société nationale Elf-Aquitaine (Production). Iliwekwa mnamo 30 Mei 2012.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Rumpungu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |