Mto Rumpungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Rumpungu (pia: Rumpungwe, Lumpungu, Umpungu) ni mto wa Burundi (mkoa wa Cankuzo na mkoa wa Ruyigi) na wa Tanzania (mkoa wa Kigoma). Ni tawimto la mto Malagarasi, ulio wa pili nchini Tanzania ukiwa kwa urefu (km 475)[1][2] na ambao unatiririka hadi ziwa Tanganyika, ukiwa mto unaoliingizia maji mengi zaidi. Baadaye, maji mengine yanachangia mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. (2010) Historical Dictionary of the Democratic Republic of the Congo. Scarecrow Press, 299. ISBN 978-0-8108-5761-2. Retrieved on 30 May 2012. 
  2. Elf-Aquitaine (Company) (1992). Bulletin des centres de recherches exploration-production Elf-Aquitaine. Société nationale Elf-Aquitaine (Production). Retrieved on 30 May 2012. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Rumpungu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.