Mkoa wa Indénié-Djuablin
Mandhari
Mkoa wa Indénié-Djuablin | |
Mahali pa Mkoa wa Indénié-Djuablin (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Comoé |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Comoé |
Serikali[1] | |
- Prefect | Fadi Ouattara, |
- Rais wa Baraza | Abinan Kouakou Pascal |
Eneo[2] | |
- Jumla | 8,000 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 560,432 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Indénié-Djuablin (kwa Kifaransa: Région de l’ Indénié-Djuablin) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika Mashariki ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Abengourou. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 560,432.
Indénié-Djuablin kwa sasa imegawanywa katika wilaya tatu:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Indénié-Djuablin" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Indénié-Djuablin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |