Majadiliano ya mtumiaji:Kipala/Coelum Stellatum Christianum

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Coelum Stellatum Christianum[hariri chanzo]

Kundinyota[hariri chanzo]

Ishara za majina ya Agano Jipya ziko upande wa kaskazini wa ekliptiki.

Umoja wa Kimataifa wa Astronomia Coelum Stellatum Christianum image
Dubu Mdogo (Ursus Minor) Malaika Mikaeli
Dubu Mkubwa (Ursus Major) Boti ya Mtume_Petro
Tinini (Draco) Mauaji ya Watoto wa Bethlehemu
Kifausi (Cepheus) Stefano
Bakari (Bootes) Papa Silvester I
Nywele za Berenike (Coma Berenices) Kupigwa kwa Yesu
Kasi ya Masakini (Corona Borealis) Taji la miba
Rakisi (Hercules) [[|Majusi|Majusi watatu]]
Kinubi (Lyra) Hori la Krismasi
Dajaja (Cygnus) Helena (Mama wa Kaisari Konstantino Mkuu
Mke wa Kurusi (Cassiopeia) Maria Magdalena
Farisi (Perseus) Mtume Paulo
Hudhi (Auriga) Jeromu
Hawaa (Ophiuchus) Benedikto wa Nursia
Hayya (Serpens) Kichaka cha miiba (cha Musa)
Ukabu (Aquila Katerina wa Aleksandria
Sagita (Sagitta) Mkuki mtakatifu
Dalufnin (Delphinus) Mtungi wa maji wa Arusi ya Kana
Mwanafarasi (Equuleus) Waridi ya kiroho
Farasi (Pegasus Malaika Gabrieli
Mara (Andromeda) Kaburi la Yesu
Pembetatu (Triangulum) Taji la Papa
Ketusi (Cetus) Mtakatifu Ana
Saint Joachim
Jabari (Orion) Yosefu wa Nazareti

Ishara za Agano la Kale kwa kawaida nu upande wa kusini ya ekliptiki.

Umoja wa Kimataifa wa Astronomia Coelum Stellatum Christianum image
Nahari (Eridanus) Red Sea
Arinabu (Lepus) Gideon
Njiwa (Columba) Noach s dove
Mbwa Mkubwa – (Canis Maior) King David
Mbwa Mdogo – (Canis Minor) Sacrificial lamb
Argo) (pamoja na Mkuku – (Carina), Shetri (Puppis), Tanga (Vela) na Dira (Pyxis) Noah's Ark
Shuja (Hydra) River Jordan
Batiya (Crater) na Ghurabu (Corvus) Ark
Kantarusi (Centaurus) Abraham and Isaak
Dhibu (Lupus) Archfather Jakob
Madhabahu (Ara) Table of showbread
Kobe – (Corona Australis) Crown [[Solomon s
Hutu Junubi – (Piscis Austrinus) The widow's cereal box in Zarephath (cf. Elijah)
Kuruki (Grus), Zoraki (Phoenix) High Priests [[Aaron (Aaron)]
Tausi (Pavo) Job
Nzi (Musca) Eva
Pembetatu ya Kusini ( Triangulum Australe) Taukreuz
Panzimaji (Volans) Abel
Tukani (Tucana) na Nyoka Maji (Hydrus) Archangel Raphael

Buruji za Falaki 12 za Zodiaki zilibadilishwa kwa Mitume 12.

Umoja wa Kimataifa wa Astronomia Coelum Stellatum Christianum image
Hamali, pia Kondoo (Aries) Simon Petrus
Tauri, pia Ng’ombe (Taurus ) Apostel Andreas
Jauza, pia Mapacha (Gemini) James the Elder
Saratani, pia Kaa (Cancer) Apostle John
Asadi, pia Simba (Leo) Apostel Thomas
Nadhifa, pia Mashuke (Virgo) James, son of Alphaeus
Mizani, pia Libra) Philip
Akarabu, pia Nge (Scorpio) Apostle Bartholomew
Kausi, pia Mshale (Sagittarius) Evangelist Matthew
Jadi, pia Mbuzi (Capricornus) Simon Zelotes
Dalu, pia Ndoo (Aquarius) Judas Squidward
Hutu, pia Samaki (Pisces) Apostel Matthias