Kamboja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kambodia)
Kamboja

Kamboja au Kampuchia ni ufalme katika bara la Asia upande wa Kusini-Mashariki, katika rasi ya Indochina.

Inapakana na nchi za Thailand, Laos na Vietnam.

Watu[hariri | hariri chanzo]

Wakazi wengi (90%) ni Wakhmer. 5% ni Wavietnam, 1% ni Wachina na 4% makabila mbalimbali.

Kuna lugha 22 ambazo huzungumzwa nchini Kamboja. Lugha rasmi na ya kawaida ni Kikhmer.

Upande wa dini, 96.4% ni Wabuddha, madhehebu ya Theravada. 2.1% ni Waislamu na 1.5% ni Wakristo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Serikali

Jamii

Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kamboja kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.