Jimbo Katoliki la Ngozi
Mandhari
Jimbo katoliki la Ngozi (kwa Kilatini "Dioecesis Ngoziensis") ni mojawapo kati ya majimbo 8 ya Kanisa Katoliki nchini Burundi na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo Kuu la Gitega.
Askofu wake ni Gervais Banshimiyubusa.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Uongozi
[hariri | hariri chanzo]Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 2,707, ambapo kati ya wakazi 1,287,273 (2013) Wakatoliki ni 992,897 (77.1%).