Jimbo Katoliki la Lugazi
Jump to navigation
Jump to search

Kanisa kuu la Lugazi.
Jimbo Katoliki la Lugazi (kwa Kilatini "Dioecesis Lugasiensis") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Kampala.
Askofu wake ni Christopher Kakooza.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Uongozi[hariri | hariri chanzo]
Takwimu[hariri | hariri chanzo]
Eneo ni la kilometa mraba 4,595, ambapo kati ya wakazi 1,549,134 (2013) Wakatoliki ni 667,362 (43.1%).