Nenda kwa yaliyomo

Historia ya Belarus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Belarus inahusu eneo la Ulaya ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Belarus.

Belarus haikuwahi kuwa nchi ya pekee hadi karne ya 20.

Maeneo yake yalikuwa chini ya himaya mbalimbali kama vile Poland, Lithuania na Urusi.

Belarus ilikuwa jimbo la Umoja wa Kisovyet tangu 1919/1922 hadi 1991.

Baada ya umoja huo wa majimbo 15 kusambaratika, Belarus ilijitangaza nchi huru.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Belarus kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.