Gümüşhacıköy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Gümüşhacıköy,Amasya

Gümüşhacıköy ni mji na wilaya iliopo mjini magharibi mwa Mkoa wa Amasya huko nchini Uturuki. Takriban 20 km kutoka kwenye mji wake ulio mkubwa kabisa mjini hapa wa Merzifon. Mji unachukua eneo la 653 km² na jumla la wakazi takriban 29,795 na wengine 14,057 wanaishi mahali pa mjini mwa Gümüşhacıköy.

Vijiji vya Gümüşhacıköy[hariri | hariri chanzo]

Akpınar • Alören • Bacakoğlu • Bademli • Balıklı • Beden • Çalköy • Çavuşköy • Çetmi • Çiftçioğlu • Çitli • Derbentobruğu • Doluca • Dumanlı • Eslemez • Güplüce • Güllüce • Güvemözü • İmirler • Kağnıcı • Karaali • Karacaören • Karakaya • Keçiköy • Kılıçaslan • Kırca • Kızık • Kızılca • Kiziroğlu • Koltuk • Konuktepe • Korkut • Köseler • Kutluca • Kuzalan • Ovabaşı • Pusacak • Sallar • Saraycık • Sarayözü • Sekü • Yazıyeri

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gümüşhacıköy kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.