4 Aprili
Mandhari
(Elekezwa kutoka Aprili 4)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Aprili ni siku ya 94 ya mwaka (ya 95 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 271.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 186 - Caracalla, Kaisari wa Dola la Roma
- 1896 - Robert Sherwood, mwandishi Mmarekani
- 1908 - Frances Ford Seymour, mke wa pili wa Henry Fonda
- 1921 - Peter Burton, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 1939 - Hugh Masekela, mwanamuziki wa Jazz kutoka Afrika Kusini
- 1960 - Hugo Weaving, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 1976 - Saida Karoli, mwimbaji kutoka Tanzania
- 1984 - Kristen Hager, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 1987 - Macdonald Mariga, mchezaji mpira kutoka Kenya
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 397 - Mtakatifu Ambrosi, askofu Mkatoliki na mwalimu wa Kanisa nchini Italia
- 635 - Mtakatifu Isidori wa Sevilia, askofu na mwalimu wa Kanisa nchini Hispania
- 896 - Papa Formosus
- 1292 - Papa Nikolasi IV
- 1589 - Mtakatifu Benedikto Mwafrika, mtawa Mwafrika wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1841 - William Henry Harrison, Rais wa Marekani (1841)
- 1929 - Karl Friedrich Benz, mhandisi Mjerumani na mtengenezaji motokaa
- 1932 - Wilhelm Ostwald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1909
- 1968 - Martin Luther King, Jr., mchungaji na mwanaharakati kutoka Marekani, aliuawa kwa kupigwa risasi na adui wa imani yake
- 2013 - Roger Ebert, mwandishi wa habari kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Isidori wa Sevilia, Agatopodo na Theodulo, Plato wa Konstantinopoli, Petro wa Poitiers, Benedikto Mwafrika, Fransisko wa Fatima, Gaetano Catanoso n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |