30 Desemba
Mandhari
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 30 Desemba ni siku ya 364 ya mwaka (ya 365 katika miaka mirefu). Mpaka uishe inabaki siku 1.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1370 - Uchaguzi wa Papa Gregori XI
- 2005 - Edward Ngoyayi Lowasa anakuwa waziri mkuu wa Tanzania
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1865 - Rudyard Kipling, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1907
- 1930 - Tu Youyou, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2015
- 1935 - Omar Bongo, Rais wa Gabon
- 1942
- 1946 - Patti Smith, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1948 - Randy Schekman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2013
- 1973 - Maureen Flannigan
- 1974 - Khalilou Fadiga, mchezaji mpira kutoka Senegal
- 1975 - Tiger Woods, mchezaji wa Golf kutoka Marekani
- 1980 - Eliza Dushku, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1984 - LeBron James
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 274 - Mtakatifu Papa Felix I
- 1591 - Papa Innocent IX
- 1896 - José Rizal, mwandishi kutoka Ufilipino
- 1944 - Romain Rolland, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1915
- 1989 - Etienne Leroux, mwandishi wa Afrika Kusini
- 2006 - Saddam Hussein, rais wa Iraki hadi 2003 ananyongwa kwa makosa ya jinai dhidi ya binadamu
- 2009 - George Miok, mwanajeshi wa Kanada
- 2012 - Rita Levi-Montalcini, daktari kutoka Italia, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1986
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Felix I, Hermes wa Vidin, Anisi wa Thesalonike, Perpetui wa Tours, Jeremari wa Fly, Egwini wa Evesham, Ranieri wa Forcona n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 30 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |