Romain Rolland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Romain Rolland
Tuzo Nobel.png

Romain Rolland (29 Januari 186630 Desemba 1944) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Baadhi ya maandiko yake aliandika wasifu ya maisha ya Ludwig van Beethoven. Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia alifuata mawazo ya Gandhi na ya kikomunisti. Mwaka wa 1915 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Romain Rolland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.