Mkoa wa Sakarya : Tofauti kati ya masahihisho
Mandhari
Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox Province TR |jina = Sakarya |kanda = Marmara |eneo = 4,895 |idadi ya wakazi = 756,168 |leseni = 54 |kodi_ya_eneo = 154 |jinalatrk = Sakarya |}} '''Sakarya''' ni jina l...' |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 07:49, 5 Septemba 2009
Mkoa wa Sakarya | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Sakarya nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Marmara |
Eneo: | 4,895 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 756,168 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 54 |
Kodi ya eneo: | 0154 |
Tovuti ya Gavana | http://www.sakarya.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/sakarya |
Sakarya ni jina la mkoa uliopo katika eneo la pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Mkoa unapakana na baadhi ya mikoa kama vile Kocaeli kwa upande wa magharibi, Bilecik kwa upande wa kusini, Bolu kwa upande wa kusini-mashariki, na Düzce kwa upande wa mashariki. Mji mkuu wa Sakarya ni Adapazarı.
Wilaya za mkoani hapa
- Adapazarı
- Akyazı
- Ferizli
- Geyve
- Hendek
- Karapürçek
- Karasu
- Kaynarca
- Kocaali
- Pamukova
- Sapanca
- Söğütlü
- Taraklı
Viungo vya Nje
- media kuhusu Mkoa wa Sakarya pa Wikimedia Commons
- Sakarya governor's official website (Kituruki)
- Sakarya municipality's official website (Kituruki)
- Sakarya University homepage
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sakarya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |