Yusufeli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yusufeli

Yusufeli ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Artvin kwenye kanda ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Upo katika eneo la ukingo wa Mto Çoruh takriban 104 km kusini-magharibi mwa jiji la Artvin, katika barabara ya Erzurum.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yusufeli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.