William Edward Burghardt Du Bois

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka William E. B. Du Bois)
William Edward Burghardt Du Bois mwaka 1918.

William Edward Burghardt Du Bois (Great Barrington, Massachusetts, 23 Februari 1868 - Accra, Ghana, 27 Agosti 1963) alikuwa mwanahistoria, mtaalamu wa elimu jamii na mpigania wa haki za kibinadamu kutoka nchini Marekani.

Alipigania hasa haki za watu wenye asili ya Afrika.

Anakumbukwa kama mmoja kati ya mababa wa harakati ya Muungano wa Afrika.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons