30 Septemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Septemba 30)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 30 Septemba ni siku ya 273 ya mwaka (ya 274 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 92.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1227 - Papa Nikolasi IV, O.F.M.
- 1870 - Jean Perrin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1926
- 1871 - Grazia Deledda, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1926
- 1884 - Margaret Widdemer, mshairi kutoka Marekani
- 1905 - Nevill Mott, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977
- 1907 - Joseph Kramm, mwandishi kutoka Marekani
- 1927 - William S. Merwin, mshairi kutoka Marekani
- 1939 - Jean-Marie Lehn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1987
- 1943 - Johann Deisenhofer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1988
- 1951 - Barry Marshall, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2005
- 1964 - Monica Bellucci, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 1985 - T-Pain, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 420 - Mtakatifu Jeromu, mmonaki, padri na mwalimu wa Kanisa kutoka Korasya au Slovenia
- 1897 - Mtakatifu Teresa wa Mtoto Yesu, bikira Mkarmeli na mwalimu wa Kanisa kutoka Ufaransa
- 1952 - Viscount Waldorf Astor
- 1990 - Patrick White, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1973
- 1994 - André Lwoff, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 1998 - Robert Lewis Taylor, mwandishi kutoka Marekani
- 2011 - Ralph Steinman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2011
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Jeromu, Antonino wa Piacenza, Urso wa Solothurn, Vikta wa Solothurn, Gregori Mletamwanga, Eusebia wa Marseille, Honori wa Canterbury, Simoni wa Crepy, Amato wa Nusco, Ismidoni, Fransisko Borja n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 1 Oktoba 2009 at the Wayback Machine.
- On this day in Canada Archived 2012-12-10 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 30 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |