Nenda kwa yaliyomo

Eusebia wa Marseille

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eusebia wa Marseille (alifariki Marseille, Ufaransa, 497 hivi) alikuwa bikira aliyemtumikia kiaminifu Mungu tangu ujanani hadi uzeeni[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, pengine mfiadini pia.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Septemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.