SECAM
Mandhari
SECAM (kifupi cha Symposium of Episcopal Conferences of Africa and Madagascar) ni shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki ya nchi zote za Afrika na visiwa vya jirani
Shirikisho hilo lilianzishwa mwaka 1969.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- [http:// Official website]
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu SECAM kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |